Boresha afya ya tendo la ndoa kwa vyakula hivi
Halilisha unatumia
vyakula hivi nusu saa kabla ya tendo la ndoa
Tango
Tango ni tunda ambalo
lina potassium kwa wingi ambayo husaidia katika kuboresha afya ya tendo la
ndoa. Unaweza kutumia kwa kuchemsha maganda yake au ukatumia tango lenyewe kama
chakula nusu saa kabla ya tendo la ndoa.
Matumizi
Unaweza kuwa unakunywa
juice ya majani ya tango uliyo ya chemsha au ukala tango leneyewe nusu saa
kabla ya tendo la ndoa.
Tende (Date)
Tende ni tunda lenye wingi
wa vitamin kama vile vitamin B1, B2, B3, B5, C, Calories (nishati ya mwili) na
madini kama vile calcium, Potassium na magnesium. Hivyo basi tende inauwezo wa
kuongeza damu kwa wingi kwa kuwa inautajiri wa madini ya chuma na kumsaidia
binadamu kuimarisha mishipa ya fahamu vizuri. Wingi wa damu mwilini unasaidia
damu kufika kwa urahisi sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo kiungo cha mwanaume
cha uzazi hivyo kusadia kusimamisha vizuri pia ubora wamishipa ya fahamu
humsaidia mwanaume kuwanahisia na tendo, kwa muunganiko huo husaidia kuboresha
afya ya tendo la ndoa ipasavyo.
Matumizi
Unaweza kuchanganya
tembe tatu na kuendelea za tende kwenye maziwa na kufanya kikawa kinywaji chako
mara kwa mara au unaweza ukatumia mchanganyiko huo nusu saa kabla ya tendo
itasaidia uimarisha afya yako ya tendo la ndoa.
Tikiti maji (Water melone)
manufaa mengi kwenye mwili wa binadamu hasa kuboresha afya ya tendo la ndoa kwani lina wingi wa madini na vitamin ambavyo husaidia kuboresha mzungoko wa damu na hivyo hufanya damu iweze kusafiri vizuri kuelekea katika viungo vya uzazi vya mwanaume.
Matumizi
Pendele kutumia tikiti
maji mara kwa mara, pia inashauriwa kutumia tikiti maji nusu saa kabla ya tendo
itakuletea matokeo mazuri sana.
Strawberries
Tnda hili lina utajiri
wa madini ya zinc. Madini ya zinc yanafaida kubwa sana katika kuboresha afya ya
tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake,
Matumizi
Unaweza ukafanya tunda
hili kama kiburudisho chako kwa kula mara kwa mara, pia inashauriwa kutumia
nusu saa kabla ya tendo la ndoa.
Ndizi mbivu
Pendelea kutumia ndizi
mbivu mara kwa mara kwani ndizi ina utajiri wa nishati ya mwili kwa sababu ya
sukari ilimio hivyo husaidia kuimarisha na kuboresha afya ya tendo la ndoa.
Matumizi
Unaweza kutumia ute ute
wake ikiwa mbichi au ukaichemsha na kula kama chakula cha kawaida tu. Pia
unashauriwa kutumia ndizi mbivu wastani wa ndizi tatu nusu saa kabla ya tendo
la ndoa itasaidia sana kushiriki tendo kwa ufasaha zaidi.
Mayai ya kuku wa
kienyeji
Mayai ya kienyeji
hususani ya kuku wa kienyeji yana maajabu makubwa katika kuimarisha afya ya
tendo la ndoa.
Matumizi
Unaweza kuchanganya
mayai matatu na kupata ute ute wake au ukayachemsha na kufanya kama chakula
chakawaidia tu. Pia unashauriwa kutumia nusu saa kabla ya tendo la ndoa utaona
maajabu yake.
Parachichi
Tunda hili linasaidia
kuupa mwili nguvu na kuuweka vizuri mfumo wa fahamu kwakuwa tunda hili
linawingi wa nishati ambavyo husaidia kuboresha afya ya tendo la ndoa.
Matumizi
Unaweza kutumia kama
tunda wakati wa mlo, pia unashauriwa kutumia nusu saa kabla ya tendo la ndoa
husaidia sana kufurahia tendo kwani mfumo mzima wa fahamu unakuwa uko vizuri
pia kiwili wili kinakua na nguvu za kutosha.
Karanga mbichi
aalamu unashauriwa kula mara kwa mara karanga mbichi kwani zina mafuta mazuri ambayo husaidia kuongeza stamina katika tendo la ndoa lakini pia huongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa pamoja na kuongeza wingi wa shahawa.
Matumizi
Unashauriwa kutumia
karanga mbichi nusu saa kabla ya tendo la ndoa ili uweze kuongeza shahawa na kuupa
mwili satamina wakati wa tendo.
No comments:
Post a Comment