idd

Index page

We provide better service

Thursday, July 14, 2022

Thursday, July 7, 2022

 JAMUHULI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WANAWAKE NA MAKUNDI MAALUM 

Ni harari njema kwa Taifa la Tanzania kwani wizara imeanzisha kampeni maalum ya kuzuia, kupunguza na kutokomeza kabisa suala la ukatili wa kijinsia kwa kushirikiana na wadau mbali mbali. Mkoa wa Mwanza wamejiandaa kwa hamu kubwa kuhakikisha kampeni hii inafanikiwa kwa kiasi kikubwa hivyo kama mkoa wameanzisha SMAUJATA ili kuweza kutokomeza ukatili wa kijinsia mkoani Mwanza.